Uzi wa vyakula tu

Anayejisikia kula pilau aje nimpe location [emoji4].
View attachment 1867748

Sent using Jamii Forums mobile app
Itume kwenye bus la MAJINJAH ntapokea kesho
 
Kuyeyuka haraka tumboni ni jambo zuri sana na la msingi sana ila cha kufanya usiwe unaula peke yake kama chakula.Uwe unakula kama mboga wakati unakula chakula fulani kama vile dona au majimbi/viazi vilivyochemshwa.
Mimi huwa naula wenyewe ..ila nikila njaa huwa inaniuma vibaya mno[emoji1787]

Hata nikila na ugali,bado nitakula mlenda mwingi kuliko ugali.

Dona bado hujanilisha aisee[emoji16].

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…