Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Nawaletea ITALIAN FOOD, waitaliano kwa vyakula ni namba moja duniani tena kwa mapishi mbalimbali ya vyakula wao wanaogoza, wao ni maarufu sana kwa SPAGHETTI (tambi) wenyewe huiita "PASTA" hii tambi yenyewe kuna yakawaida na nyingine wanayoita MACORONI na hutafautiana katika mapishi na mchanganyiko wa viungo mbalimbali na nyama.View attachment 1867509View attachment 1867510View attachment 1867511View attachment 1867512View attachment 1867513View attachment 1867516View attachment 1867518View attachment 1867520
Anayejisikia kula pilau aje nimpe location [emoji4].
View attachment 1867748

Sent using Jamii Forums mobile app
Itume kwenye bus la MAJINJAH ntapokea kesho
 
Kuyeyuka haraka tumboni ni jambo zuri sana na la msingi sana ila cha kufanya usiwe unaula peke yake kama chakula.Uwe unakula kama mboga wakati unakula chakula fulani kama vile dona au majimbi/viazi vilivyochemshwa.
Mimi huwa naula wenyewe ..ila nikila njaa huwa inaniuma vibaya mno[emoji1787]

Hata nikila na ugali,bado nitakula mlenda mwingi kuliko ugali.

Dona bado hujanilisha aisee[emoji16].

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Screenshot_20210725_060514.jpg
 
Back
Top Bottom