Uzi wa vyakula tu

Mimi hata radha yake siijui
Nimeselfika nao tu.
Huwa sinywi maziwa mtindi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nifahamishe hata kaka yako mmoja humu! Nataka nifanye mipango ya kuunga udugu! Yaani vyakula vyako vyote ni very simple, then huli sana (mvivu wa kula) [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377]
 
[emoji1787]
Humu sina kaka mkuu .


Hayo maziwa nimejaribu leo kupiga pafu mbili tatu,,,
Kwa kweli ni mazuri,japo mimi maziwa mtindi yalipita kushoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo boss wangu alikuwa ananambia kuh huu mtindi. Alinambia unaunzwa elfu 18 kigeloni. Sasa ndio namuuliza St. Anne hapo huo bei gani isije kuwa kigeloni kenyewe ndio hiko ka ltr 1 ndio elfu 18.
Hako lita 3 kama sikosei ni 9,000/10,000
 
[emoji1787]
Humu sina kaka mkuu .

Sent using Jamii Forums mobile app
Nipe njia sasa nifanyeje! [emoji2377][emoji2377][emoji2377]
Maana hutii hasara, huli sana nahisi hata matumizi ya nyumbani yatapungua kwa 50%
Dada yangu Angel Nylon hebu mthaminishe wifi yako mtarajiwa!! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377]
 
[emoji38]
Acha watu wale mkuu,raha ya mwanamke ale mshahara wako wote[emoji3].
Acha kubana matumizi kiasi hicho kama mpare[emoji38]

Yawezekana Mimi sili sana lakini natumia gharama kubwa kwenye mambo mengine[emoji3].

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshahara upi tena? [emoji2377][emoji2377][emoji2377] Kwani si nilishakwambia kuwa mimi ni fundi niko zangu kitaa napiga kazi!! Then mimi sio mbana matumizi lakini kwa vile hupendi kula utasaidia kubana bajeti[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujue kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake.
Yawezekana kamba yangu ni fupi[emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…