Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
Unapatikana wapi huu na bei yake huo wa ltr 1?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapatikana wapi huu na bei yake huo wa ltr 1?
Leo boss wangu alikuwa ananambia kuh huu mtindi. Alinambia unaunzwa elfu 18 kigeloni. Sasa ndio namuuliza St. Anne hapo huo bei gani isije kuwa kigeloni kenyewe ndio hiko ka ltr 1 ndio elfu 18.Huu mtindi nimeukubali, uko vizuri sana, tatizo hawajaweka lita 5[emoji2377][emoji2377][emoji2377]
Mmhhh ushakula ukaonja ladha!?Hii nzuri sana kama cha Ethiopia
Yaani. Ndio umoumo. Like 40k za madafuhuu msosi wa ushuani huko, unaweza kuta ni around $25 hiv
DSM,bei yake sijui..nilibeba tu ofisini.Unapatikana wapi huu na bei yake huo wa ltr 1?
Napenda mkate na chai ya maziwaSoft food(chakula chepesi) mchanganyiko wa chai, maziwa na na cafe (capuchin) mayai na mkate wa ngano ya shihiri, tosha kabisa!
View attachment 1869375
Nifahamishe hata kaka yako mmoja humu! Nataka nifanye mipango ya kuunga udugu! Yaani vyakula vyako vyote ni very simple, then huli sana (mvivu wa kula) [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377]Mimi hata radha yake siijui
Nimeselfika nao tu.
Huwa sinywi maziwa mtindi.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787]Nifahamishe hata kaka yako mmoja humu! Nataka nifanye mipango ya kuunga udugu! Yaani vyakula vyako vyote ni very simple, then huli sana (mvivu wa kula) [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377]
Hako lita 3 kama sikosei ni 9,000/10,000Leo boss wangu alikuwa ananambia kuh huu mtindi. Alinambia unaunzwa elfu 18 kigeloni. Sasa ndio namuuliza St. Anne hapo huo bei gani isije kuwa kigeloni kenyewe ndio hiko ka ltr 1 ndio elfu 18.
Nipe njia sasa nifanyeje! [emoji2377][emoji2377][emoji2377]
[emoji38]Nipe njia sasa nifanyeje! [emoji2377][emoji2377][emoji2377]
Maana hutii hasara, huli sana nahisi hata matumizi ya nyumbani yatapungua kwa 50%
Dada yangu Angel Nylon hebu mthaminishe wifi yako mtarajiwa!! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377]
Mshahara upi tena? [emoji2377][emoji2377][emoji2377] Kwani si nilishakwambia kuwa mimi ni fundi niko zangu kitaa napiga kazi!! Then mimi sio mbana matumizi lakini kwa vile hupendi kula utasaidia kubana bajeti[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377][emoji38]
Acha watu wale mkuu,raha ya mwanamke ale mshahara wako wote[emoji3].
Acha kubana matumizi kiasi hicho kama mpare[emoji38]
Yawezekana Mimi sili sana lakini natumia gharama kubwa kwenye mambo mengine[emoji3].
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo Tunduma hapa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mshahara upi tena? [emoji2377][emoji2377][emoji2377] Kwani si nilishakwambia kuwa mimi ni fundi niko zangu kitaa napiga kazi!! Then mimi sio mbana matumizi lakini kwa vile hupendi kula utasaidia kubana bajeti[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377]
Oh sawa.Nipo Tunduma hapa
Ujue kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake.Mshahara upi tena? [emoji2377][emoji2377][emoji2377] Kwani si nilishakwambia kuwa mimi ni fundi niko zangu kitaa napiga kazi!! Then mimi sio mbana matumizi lakini kwa vile hupendi kula utasaidia kubana bajeti[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377]
Baba Yangu alipenda mno ndizi.Katika vyakula vyote binadamu anavokula, huwa atapenda kimojawapo mimi chakula cha ndizi ndio chaguo langu! View attachment 1869922View attachment 1869924View attachment 1869925