[emoji119][emoji119][emoji119] Emiir wa chura! Vipi lakini ana chura? [emoji2960][emoji2960][emoji2960]Mimi ndiye kaka yake,nakupa bure kabisa huyu msumbufu wala simtaki tena hapa nyumbani.Mahari ni kajogoo kamoja tu mkuu[emoji16][emoji16][emoji16]
Ni msumbufu sana hapa nyumbani,huyo mahari yake ni Paka mmoja tu.[emoji119][emoji119][emoji119] Emiir wa chura! Vipi lakini ana chura? [emoji2960][emoji2960][emoji2960]
Hiyo ni methali tu.Sijapenda hapo ulipojifananisha na mbuzi! [emoji848][emoji848][emoji848]
Usiku tulivuView attachment 1870743
Hata kama, ujue nakupenda hadi naumwa!! Hapa nimetoka kuzunguka majalala yote, lakini nashangaa paka hawaonekani [emoji2960][emoji2960][emoji2960]
Nyama nzuri ila bucha halihamasishiKitaani kwetu
View attachment 1861966
Hapo kwenye avatar yako kuna kitu kinanihamasisha!πππNyama nzuri ila bucha halihamasishi
Chief! Daah! Yaani unanionesha hotfire kweli? Si halali kwa upande wangu hivyo! [emoji2363][emoji2363][emoji2363]Viheshimiwa vimeweka pozi siku inayosubiriwa bado
Emiir
Chaliifrancisco
Kim Dawizzy
Darmian View attachment 1871084
Hao paka mnaopeana shauri zenu [emoji38]Hata kama, ujue nakupenda hadi naumwa!! Hapa nimetoka kuzunguka majalala yote, lakini nashangaa paka hawaonekani [emoji2960][emoji2960][emoji2960]
Nikimpata mmoja tu namuona kaka yako Behaviourist emiir wa chura haraka sana! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji1787][emoji1787]Leo bilabila
Nakubaliana na wewe. Ugumu upo kwa familia zetu hizi una mke mna watoto sita, ndugu zako na ndugu wa mkeo jumla mpo kumi na tatu ndani uwezekano wa kumudu kula hivi ni mdogoUnaweza kujionea hapa kuwa chakula ambacho mwili wako unahitaji siyo chakula ambacho hisia zako au mdomo wako au utamaduni wako uliokulia unahitaji.
Wengi wenu hapa mkiona chakula hiki mtapatwa na kinyaa lakini ni chakula kilichojaa virutubisho na ambacho ndicho mwili wako unahitaji.
Tunasema kuwa umekua mkubwa kwenye masuala ya lishe na vyakula pale ambapo utaanza kula vyakula ambavyo mwili wako unahitaji na siyo vile ambavyo unavitamani wewe labda kwa utamu wake au kutokana na utamaduni uliokulia.
Kula vyakula ambavyo mwili wako unahitaji ni suala la kujifunza na kusoma juu ya vyakula bora na mapishi yake ili uweze kuvijua.View attachment 1870720
Hahahaha kama vijiniMshana Jr vione vijamaa hiviView attachment 1871083