Inakuwaje leo j'2 hatuli pilau?Nyanyachungu za Leo[emoji119]View attachment 1876510View attachment 1876512
Tumbo langu halipo poa.Inakuwaje leo j'2 hatuli pilau?
Hivi ni vinin?Hapa solo, staki story! [emoji477][emoji1787]
View attachment 1875923
Kwa Dar kinapatikana wapi mkuu?
Huyo alie pika hicho chakula hata nikimpa mahali milioni tatu ni sawa kabisa maaana si nitajenga shavu [emoji39][emoji39]Chapo mraruko... [emoji23]
View attachment 1876704
Umenikumbusha leo hii hii nalala nayo mbere.Mihogo ni chakula kitamu jaman ukipata ile milaini either ichemshwe unywe na chai au ikaangwe[emoji39][emoji39]na kachumbari au chachandu
Pia n chakula ambacho kinaweza kuliwa muda wowote asubuh mchana jion au usiku[emoji38][emoji38]
Binafsi napenda Sana mihogo.
Hii tumetengeneza wenyeew nyumbani...lakin bar nyingi za kimara,mbezi kisusiio kipoooKwa Dar kinapatikana wapi mkuu?
Mimi natengeneza[emoji23]Kwa Dar kinapatikana wapi mkuu?
Mmetengeneza nyumbani, nyumbani ni wapi tuje kuchukua?[emoji1787]Hii tumetengeneza wenyeew nyumbani...lakin bar nyingi za kimara,mbezi kisusiio kipooo
🏃🏃🏃Mimi natengeneza[emoji23]
Hautaki?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
kiwembe kimefanya yake