Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Breakfast
IMG_20210801_102153_mfnr.jpg
 
Mihogo ni chakula kitamu jaman ukipata ile milaini either ichemshwe unywe na chai au ikaangwe[emoji39][emoji39]na kachumbari au chachandu
Pia n chakula ambacho kinaweza kuliwa muda wowote asubuh mchana jion au usiku[emoji38][emoji38]
Binafsi napenda Sana mihogo.
Umenikumbusha leo hii hii nalala nayo mbere.
Sasa ile bila chill na chumvi ni hamna kitu.
Na nna lips bite kwa ndani basi huo uchungu mda wa kula balaa.
Haa ikiingia chumvi au pili2 pale😥.
Ila nakamua mdogo mdogo mpaka ngoma inaisha
 
Back
Top Bottom