Uzi wa vyakula tu

No!Kisusio kilichopikwa na dada siyo kitamu kwa sababu wadada huwa hawapatani na damu ndiyo maana nikakataa kuwa sitaki uniandalie wewe apo[emoji854]
Mimi nachinja hadi ng'ombe[emoji23][emoji23][emoji23]
Damu kitu gani? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Umenikumbusha jana almanusura tushindwe kula nyama,,wa kuchinja kuku hakuwepo.
Kwa kweli Mimi ndege/mnyama nikishamuona anavyouliwa au nikimtia machoni baada tu ya kuchinjwa basi siwezi kumla.
 
Wewe kisusio unakijua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…