Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Kwa wewe sitaki!😁😁😁Hautaki?[emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa wewe sitaki!😁😁😁Hautaki?[emoji23][emoji23][emoji23]
Njoo makabeMmetengeneza nyumbani, nyumbani ni wapi tuje kuchukua?[emoji1787]
Kwahiyo Kumbe nivunje tu ukaka.Kwa wewe sitaki![emoji16][emoji16][emoji16]
Nisije kuja nikakuta sahani tupu [emoji38]Njoo makabe
No!Kisusio kilichopikwa na dada siyo kitamu kwa sababu wadada huwa hawapatani na damu ndiyo maana nikakataa kuwa sitaki uniandalie wewe apo🙃Kwahiyo Kumbe nivunje tu ukaka.
Kaka gani haumsikilizi mdogo wako[emoji38]
Mimi nachinja hadi ng'ombe[emoji23][emoji23][emoji23]No!Kisusio kilichopikwa na dada siyo kitamu kwa sababu wadada huwa hawapatani na damu ndiyo maana nikakataa kuwa sitaki uniandalie wewe apo[emoji854]
TumechomaaNisije kuja nikakuta sahani tupu [emoji38]
Siku mkichoma mbuzi nialike,wachagga na nyama choma ni kama pete na kidole.
Wewe kisusio unakijua?Mimi nachinja hadi ng'ombe[emoji23][emoji23][emoji23]
Damu kitu gani? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umenikumbusha jana almanusura tushindwe kula nyama,,wa kuchinja kuku hakuwepo.
Kwa kweli Mimi ndege/mnyama nikishamuona anavyouliwa au nikimtia machoni baada tu ya kuchinjwa basi siwezi kumla.
hatari sanaHuyu mpishi fundi
Nadhani ni kama mboga ya damu..au nakosea?[emoji1745]Wewe kisusio unakijua?
Mko vizuri boss.
Hizi mambo hapa mjini zinapatikana wapi? Hazard CFC
Maeneo ya kawaida kunakoiishi wachaga wengi..kuna bar iinaiitwa timova wanatengeneza sana hiyo na kutengeneza mbege piaHizi mambo hapa mjini zinapatikana wapi? Hazard CFC
Unataka uende nyumbani kwa Hazard?Mmetengeneza nyumbani, nyumbani ni wapi tuje kuchukua?[emoji1787]
Oooooh!!Shukrani.Maeneo ya kawaida kunakoiishi wachaga wengi..kuna bar iinaiitwa timova wanatengeneza sana hiyo na kutengeneza mbege pia
Mkuu unaishi duniani kweli yaan kisusio ni mboga ya damu na tena inapikwa damu peke yake? Hyo haikua kisusio mkuu.Nadhani ni kama mboga ya damu..au nakosea?[emoji1745]
Niliwahi ona miaka ya nyuma kule vijijini kwetu baadhi ya watu wakipika.
Wanaipika damu tu.