Fekifeki
JF-Expert Member
- Nov 18, 2011
- 1,504
- 632
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu ndugu tunapata tunda la kati na kulalaaaa
Icho kisu unakatia nini miss[emoji12]
Kwenye baa la njaa unakula mpaka mende na mijusi[emoji28]Ama kweli hakuna mdudu asiyeliwa sema hatujaamua tu..
Mmmhmshana jr Bora umeleta huu uzi mfungo umeshaisha.
Ungekuja mwezi wa ramadhan kuna swaumu zingeharibika.
Sio wa kuupitia ukiwa na njaa kabisa, utateseka,
[emoji188] [emoji188] [emoji188] [emoji188]Karibu ndugu tunapata tunda la kati na kulalaaaa
RubiiKimimi[emoji85]
Tupiamo chako, iwe ulialikwa kwenye sherehe, umepiga nacho selfie (hata kama hujala) umedoea! Umenunua, hata kama ni cha mchepuko ama nyumba ndogo cha hotelini msibani... Popote pale wee tupia tuu kiwe kibaya au kizuri leta tu hapa, tuwatamanishe watoke miudenda wale kulakula[emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 566179View attachment 566180
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupia kwanza picha ya kile ulichodowea juzi kwa nanilihu![emoji1][emoji1][emoji1]Hiyo mikate mshana ni panya huyo?
Madame S
Hizo ni pombe mkuuHumu ndimo tunamohifadhia Mishikaki yetu kabla Mapishi na Machomaji hayajaanza.
![]()
Si unaona mwenyewe kitu yenyewe ya Chuku Chuku.Hii kitu hatari sana...
Hapo unaugali wa unga wa Muhongo wa kutwangwa sio wa mashine. Matonge unakuwa unayasikilizia yanapita kwenye aesofagasi tu, tubwiii
[emoji23] [emoji23] [emoji23]mshana jr Bora umeleta huu uzi mfungo umeshaisha.
Ungekuja mwezi wa ramadhan kuna swaumu zingeharibika.
Sio wa kuupitia ukiwa na njaa kabisa, utateseka,
Nani?Tupia kwanza picha ya kile ulichodowea juzi kwa nanilihu![emoji1][emoji1][emoji1]