Joowzey
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 13,166
- 13,514
Yeah man! Huku dom kuna sehem wanatengeneza dompo,nikifika pale wananipa kidumu cha lita tano kilichojaa dompo kwa elfu 20 tu!Hapa Dompo inahusika kusindikiza huu msosi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah man! Huku dom kuna sehem wanatengeneza dompo,nikifika pale wananipa kidumu cha lita tano kilichojaa dompo kwa elfu 20 tu!Hapa Dompo inahusika kusindikiza huu msosi
Mkuu, huu mpangilio sio mzuri, ulitakiwa matunda uweke kwenye sahani nyingine. Sorry if you, if you if youuuuuu
Yummy![emoji39] [emoji39] [emoji39]![]()
Karibuni
I miss this more than 10 yrs
Kipindi nipo mdogo kama hao madogo, ilikuwa nikiumwa homa hivyo ndivyo chakula nikipendacho, pembeni nashushia na kachumbari, safi.
Acha kabisa anko,sangara na udaga[emoji2]Mhmhhh....anko upo vizuri
Ucku huu unazurura tuu
Ucku huu unazurura tuu
Nikiona nundu hivyo nachanganyikiwa [emoji39]
Sijui nina mimba !
Hahahaha mhmhh huku upo pia?unapenda nundu ehhh, Muumini wangu sijakuona siku nyingi kanisani, kuna tafrija uje kula misosii basiNikiona nundu hivyo nachanganyikiwa [emoji39]
Baba paroko jaman miss u kwenye misosi usisahau kuweka nunduHahahaha mhmhh huku upo pia?unapenda nundu ehhh, Muumini wangu sijakuona siku nyingi kanisani, kuna tafrija uje kula misosii basi
Nasikia tende zina kazi yake maalum au ukinywa juice ya tende![]()
Kifungua kinywa cha kibabe..maziwa na tende