Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

3f69c8c6eba55dd6c88a2c29031f5906.jpg


Kama unaishi sinza utakuwa unajua sehemu hii maarufu ya mbuzi
 
Eti ndo zinaitwaga chapati za kurasa? Me sielewi nabonya tu
Mkuu hapo ziwe kurasa, kitabu, daftari au counter book, uko pazuri.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Back
Top Bottom