Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Chukua mafuta ya nazi na Colgate herbal.. Changanya Kisha mpake mzee baba na kumfanyia masaji kwa dakika 5 6 hivi... Msuuze kisha kula vizuri pumzika nususaa.. Ingia Kazini
Hivi hii nikitaka kumpaka mtu naanzaje?
 
Yeah man! Huku dom kuna sehem wanatengeneza dompo,nikifika pale wananipa kidumu cha lita tano kilichojaa dompo kwa elfu 20 tu!
Haiwezekan,..nifanyie mpango namim bas af unanitumia dar kwa basi,dum mbili
 
Hii inaitwa kichwaa aa mbusi,..ni balaa,.kuna kona flan huku goba ndo mambo yetu weekend,..na kongoro saafi
 

Attachments

  • IMG_20171008_095036.jpg
    IMG_20171008_095036.jpg
    42.7 KB · Views: 55
Back
Top Bottom