Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Ila huu Uzi nimeamini watu wasemayo kwamba wanaume wanajipenda na ni wachoyo sana kwenye kula, yaani Uzi umejaa wanaume tu wakipost vyakula vizuri na wengi sana wakionekana wako vinakouzwa hivo vyakula na sio nyumbani kwa wife.. Hapo unakuta wife anashindia ugali na matembere mwanaume nje anapiga mbuzi choma nusu na mazagazaga kibao[emoji23] [emoji23] [emoji23] wanaume Mungu anawazoom..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
.
IMG-20180316-WA0102.jpg
 
Yaani hiyo "mayonaiz" huko mjini wanaipenda kweli kweli.
Vijana wa dar hao mkuu[emoji13] [emoji13] [emoji13] wengine kweli hadi ile yenyewe[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
Hatari Sheikh
 
Jaman [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mme wangu

Sijui nikwambie nini ?

[emoji109] [emoji109] [emoji109] wacha nikupige ngumi za kimahaba
Nipige nitoe machozi ya huba unipanguse na leso ya kiganja lainiii
 
Back
Top Bottom