Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,320
Mwanamke na mapishi ni samaki na maji
Hebu tuone pishi lako sio maneno mengiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanamke na mapishi ni samaki na maji
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ila huu Uzi nimeamini watu wasemayo kwamba wanaume wanajipenda na ni wachoyo sana kwenye kula, yaani Uzi umejaa wanaume tu wakipost vyakula vizuri na wengi sana wakionekana wako vinakouzwa hivo vyakula na sio nyumbani kwa wife.. Hapo unakuta wife anashindia ugali na matembere mwanaume nje anapiga mbuzi choma nusu na mazagazaga kibao[emoji23] [emoji23] [emoji23] wanaume Mungu anawazoom..
Sio mimi, babulakibaha mayonaiz anahisi kama anakula nini?[emoji13] [emoji13] [emoji13]Unapata shape kama ya miss natafuta [emoji23] [emoji23]
Njoo tu. Muhimu uage unakuja ChamakwezaSijui nije..
Acha uhuni wewe!![emoji3]Sio mimi, babulakibaha mayonaiz anahisi kama anakula nini?[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Naacha mkuu[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]Acha uhuni wewe!![emoji3]
Yaani hiyo "mayonaiz" huko mjini wanaipenda kweli kweli.Naacha mkuu[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
Yaani hiyo "mayonaiz" huko mjini wanaipenda kweli kweli.
Vijana wa dar hao mkuu[emoji13] [emoji13] [emoji13] wengine kweli hadi ile yenyewe[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]Yaani hiyo "mayonaiz" huko mjini wanaipenda kweli kweli.
Hatari SheikhVijana wa dar hao mkuu[emoji13] [emoji13] [emoji13] wengine kweli hadi ile yenyewe[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
VyediChamdekoooo uuwiii View attachment 717554
Jaman [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mme wanguChamdekoooo uuwiii View attachment 717554
Shushia na hiiChamdekoooo uuwiii View attachment 717554
Nipige nitoe machozi ya huba unipanguse na leso ya kiganja lainiiiJaman [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mme wangu
Sijui nikwambie nini ?
[emoji109] [emoji109] [emoji109] wacha nikupige ngumi za kimahaba