Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Nimeshaoa mbona, na watoto wawili, haya mambo sio ya wanawake peke yao, hata sisi wanaume yatupasa tuyajue. Na ukiwa unayajua, hutopikiwa vibaya. Siku mke akizingua wala hupati shida unaingia mwenyewe jikoni na kutoa vitu munakash.
Mm issue ya kupika nlianza wakat nipo chuo...sehem nliyokuwa nasoma hakukuwa na misosi nayopenda ikanibidi niwe najipikia...issue ngumu ni kuosha vyombo tu jamani
 
[emoji39]
GBWA-20180318200746.jpg
 
Back
Top Bottom