Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,710
- 76,243
Nimeshaoa mbona, na watoto wawili, haya mambo sio ya wanawake peke yao, hata sisi wanaume yatupasa tuyajue. Na ukiwa unayajua, hutopikiwa vibaya. Siku mke akizingua wala hupati shida unaingia mwenyewe jikoni na kutoa vitu munakash.Aiseee we jamaa kuoa sio rahisi.