missyrose
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 3,014
- 7,361
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani hadi wale mapedeshee wanaomiliki majumba ya wapangaji, magari marefu sio baby woka wakiposti misosi iko kwenye bakuli za mifupa, meza teremka tukaze au plastic. Tuishi maisha halisi[emoji16][emoji16]