Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Mkuu hata mimi nilitaka niulize hili swali[emoji23][emoji23][emoji23] kweli kwa hali hiyo anastahili kuitwa mwanaume wa dar
Hivi kwanini tunadhani kula chakula kingi ndio sifa ya kuwa mwanaume? Nijuavyo mimi ulaji wa chakula unachangiwa na hali ya hewa aina ya kazi muda na aina ya chakula
 
...
IMG_20181025_132556.jpg
 
Back
Top Bottom