Joowzey
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 13,166
- 13,514
Aisee wanaume wa dar,sasa hapo unashiba kabisa kweli mzee?Breakfast ya leo asubuhiView attachment 913931
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee wanaume wa dar,sasa hapo unashiba kabisa kweli mzee?Breakfast ya leo asubuhiView attachment 913931
wasukuma bwana[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wale wa kwetu kule mwisho wa reli [emoji39] ugali muhogo na mugebuka choma na pilipili pembeni.. Karibuni wote View attachment 914215
Mkuu hata mimi nilitaka niulize hili swali[emoji23][emoji23][emoji23] kweli kwa hali hiyo anastahili kuitwa mwanaume wa darAisee wanaume wa dar,sasa hapo unashiba kabisa kweli mzee?
kama leo mtu hafanyi kazi mbona anashiba !! anashushia na maji, na baada ya muda kidogo anajisogezea juiceAisee wanaume wa dar,sasa hapo unashiba kabisa kweli mzee?
Ahahahah [emoji12] akii mzee mm cio msukuma.. Mm ni wa mwisho wa reliwasukuma bwana[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivi kwanini tunadhani kula chakula kingi ndio sifa ya kuwa mwanaume? Nijuavyo mimi ulaji wa chakula unachangiwa na hali ya hewa aina ya kazi muda na aina ya chakulaMkuu hata mimi nilitaka niulize hili swali[emoji23][emoji23][emoji23] kweli kwa hali hiyo anastahili kuitwa mwanaume wa dar
Chips na mchicha? Aisee
Dah kijijini hii.. Hapo ukienda kwenye mechi ya simba na ruvu shooting mabao yatazidi ya jana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Karibuni waungwana..View attachment 914946
Bomu ya viagra hili..Karibuni waungwana..View attachment 914946
Jaman Mungu si vizuri hivi
Jaman Mungu si vizuri hivi
SawaaAisee wanaume wa dar,sasa hapo unashiba kabisa kweli mzee?
MATE PIPA MM. Niko vzr sana![]()