Savage Dad
JF-Expert Member
- Jul 10, 2018
- 1,388
- 2,611
Doohhh.Mshana unakula almond? Naomba unikojolee aisee hizo vitamin sio za nchi hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Doohhh.Mshana unakula almond? Naomba unikojolee aisee hizo vitamin sio za nchi hii
Sijasema nazitaka ila nilizitamani aseeNjoo Na kilainishi tu mpunga upo
Pole sana ngoja nikuoneshe za Leo tena dollarsSijasema nazitaka ila nilizitamani asee
Vibenten kama naviona hivi vinavyojigonga...Vijisent tu hivi Mkuu View attachment 941765
Yaani nimeviambia kiingilio ni vilainishi tu niwasajiliVibenten kama naviona hivi vinavyojigonga...
Mmmhh sio huku lakini tutaaribu uzi wa watu, huku tuma misosi ya hela yotePole sana ngoja nikuoneshe za Leo tena dollars
Kwani vyakula vilivyo na uzi wake vimefanyaje?Wamefanyeje?
Mwanaume wa dar utakojoa kweli?Cha usiku View attachment 942147
Me sio wa dar me wa pwani, miss huko kukojoa kwa namna gani?Mwanaume wa dar utakojoa kweli?
Huyo kuna analolitafuta.Me sio wa dar me wa pwani, miss huko kukojoa kwa namna gani?
Kamanda kweli kabisa namsubir hapaHuyo kuna analolitafuta.
Yummy [emoji39]
Dah.... [emoji39][emoji39][emoji39]Vijisent tu hivi Mkuu View attachment 941765
Kwanini?, ila kulikua na maini hapo sema yapo chiniTambi nikiziona nazitamani
Ila kuzila mmmh labda ziwe na nyama
Mzee tambi haziliwi kwa kijikoCha usiku View attachment 942147
😂😂Mzee tambi haziliwi kwa kijiko
Ni vema ukatumia vijiti au uma
Tawire mganga.!Mzee tambi haziliwi kwa kijiko
Ni vema ukatumia vijiti au uma