lossoJR
JF-Expert Member
- Oct 11, 2012
- 2,711
- 2,384
We wasema hapo naiandalia ma effects kama yote..
Lazima inoge tu[emoji16]
Lazima inoge tu[emoji16]
Ya nyumbani hainogi sana kama ya kununua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya nyumbani hainogi sana kama ya kununua
Umeona eehYa nyumbani hainogi sana kama ya kununua
Utume na after kuandaa. Vya kununua sijui wanapikia bila nguo. Kuna kipindi nilikua naenda umbali mrefu kufuata mihogo ya mama mmoja hivi. Mpaka nikajishangaa baadae [emoji16][emoji16][emoji16]We wasema hapo naiandalia ma effects kama yote..
Lazima inoge tu[emoji16]
Nimeona mamaUmeona eeh
Utume na after kuandaa. Vya kununua sijui wanapikia bila nguo. Kuna kipindi nilikua naenda umbali mrefu kufuata mihogo ya mama mmoja hivi. Mpaka nikajishangaa baadae [emoji16][emoji16][emoji16]
Sijui ni njaa au kitu gani natamani kitimoto
Naam kwa maneno haya kweli nimeamini we mwarabu mswahili'Utume na after kuandaa. Vya kununua sijui wanapikia bila nguo. Kuna kipindi nilikua naenda umbali mrefu kufuata mihogo ya mama mmoja hivi. Mpaka nikajishangaa baadae [emoji16][emoji16][emoji16]
Ugali kama wa mwanamke
Wote mzee . Nipo sawa sana kwa hii sector.
As usual[emoji39] [emoji39] View attachment 947283
We nae bhana usitake kutuchanganya bwana we nyumbani kwako kila sehemu ni ya kulia chakula? Kuna ubaya gani kuwa na location moja ya kulia chakula
Mimechoka kununua. .leo naikaanga mwenyewe[emoji53]
View attachment 948986
Na kweli, ya kuchemsha kwanza huwa ni mitamu kweli na ni laini.Uliichemsha kwanza?
Nyama ya nini?
Na kweli, ya kuchemsha kwanza huwa ni mitamu kweli na ni laini.