Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Hahahaha na maudhi yangu utaenda mbio🤣🤣🤣.

Naweza kuwa mpishi mzuri ila nna mapungufu yangu.
Kila mtu ana mapungufu yake mkamilifu ni mola mtukufu tu peke yake.

Hayo mapungufu yako machache yatazibwa na ufundi wako jikoni[emoji1]
 
Back
Top Bottom