Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

IMG_0704.JPG

Pudding [emoji39][emoji39]
 
Okay vipi umewahi kitumia hii wanaita power pressure cooker.

Hmm sidhani aisee.

Na sidhani kama ninayo.

Nina rice cookers mbili nyumbani lakini sijawahi kusoma descriptions zake kwenye boksi....so yawezekana ninayo lakini sijui.

Kwa kawaida, mimi ikija kwenye kupika huwa napenda kupika kwa mikono yangu mwenyewe.

Nachemsha maji kwenye sufuria, naweka siagi au virgin olive oil, halafu naweka mchele.

Nachukua mwiko halafu naanza kukoroga, nafunika, nafunua tena, napunguza moto, nauchanganya tena huo wali na mwiko, hatimaye naivisha.

Nikishaivisha nazima kabisa moto halafu mfuniko wa sufuria nauacha ili wali uendelee kuiva taratibu na joto la sufuria.

Sijui kwa nini tu ila ikija kwenye kupika mimi ni old school. Bado napika vile nilivyofundishwa.

Natamani siku moja nipikie jiko la mkaa ila kwa hizi nyumba zetu za huku, jiko la mkaa laweza kuwa ni Fire 🔥 hazard.

Kwanza Hata sijui nitalipatia wapi!
 
Hmm sidhani aisee.

Na sidhani kama ninayo.

Nina rice cookers mbili nyumbani lakini sijawahi kusoma descriptions zake kwenye boksi....so yawezekana ninayo lakini sijui.

Kwa kawaida, mimi ikija kwenye kupika huwa napenda kupika kwa mikono yangu mwenyewe.

Nachemsha maji kwenye sufuria, naweka siagi au virgin olive oil, halafu naweka mchele.

Nachukua mwiko halafu naanza kukoroga, nafunika, nafunua tena, napunguza moto, nauchanganya tena huo wali na mwiko, hatimaye naivisha.

Nikishaivisha nazima kabisa moto halafu mfuniko wa sufuria nauacha ili wali uendelee kuiva taratibu na joto la sufuria.

Sijui kwa nini tu ila ikija kwenye kupika mimi ni old school. Bado napika vile nilivyofundishwa.

Natamani siku moja nipikie jiko la mkaa ila kwa hizi nyumba zetu za huku, jiko la mkaa laweza kuwa ni Fire [emoji91] hazard.

Kwanza Hata sijui nitalipatia wapi!

Me napenda sana pia kupika old schol ila mda mwengine kazi zinakua nyingi so huwa nabofya tu.

Usinkumbushe ubwabwa wa nazi wa mkaa [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
 
Oh yeah?

Mshakariri ni huyo tu ndo ajuaye kupika biryani!

Bwa ha ha ha ha.
Hamna aliyekariri, at least yupo jirani.
Biriyani halisi ilalaaa kuna chemba kule kwa tunaojua.ila we mtu wa cereal na maziwa, hata ramada hilo biriani ulikaribishwa tu.
 
Biryani chakula cha Kihindi.

Ukitaka biryani halisi nenda Uhindini huko. Siyo lipikwalo na Waswahili.

Watu huwa tunakula aunthetic Hyderabad biryani wewe unaniletea mambo ya Sele Bonge.

FOH.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Back
Top Bottom