Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Good morning
Monday
images.jpeg
 
Ooh utumbo, nyama ya moo [emoji202], ya kuku, ya mbuzi na viungo mbalimbali... Ni mixer ya mchemsho... Ukishaziandaa nyama vipande vidoodogo unakuwa na jiko la umeme mezani (mko wengi) kwahiyo unatumbukiza vipande kadha kwenye sufuria halafu mnapakulia hapo hapo na kula na ugimbi pembeni
Kichina inaitwa hwo gwoo
 
Back
Top Bottom