kamarah1320
JF-Expert Member
- Dec 2, 2018
- 295
- 300
na vidonda vya tumbo so huwa napenda sana kula wali mkavu na samak,mboga za majan pemben hatari!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na vidonda vya tumbo so huwa napenda sana kula wali mkavu na samak,mboga za majan pemben hatari!!!
na vidonda vya tumbo so huwa napenda sana kula wali mkavu na samak,mboga za majan pemben hatari!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitimoto? Mwenye hiyo ID angekuwa hai ungesambaratishwa [emoji23][emoji23]
Jinsi ya kupika bumunda
Recipe
Unga wa Ngano au ndizi kikombe kimoja
Ndizi mbivu mbili
Jani la mgomba
Mkaa
Mapishi
Koroga Unga wa Ngano au wa mahindiNa ndizi
Ukishapata hilo libonge
Lisokotee kwenye jani la mgomba lifunge vizuri kabisa
Weka mkaa juu Na chini kwa moto wa kati kwa masaa matatu
Sent using Jamii Forums mobile app
Loshoro mbona rahisi ngoja Niko njiani nikipata nafasi nitakuambiaAsante mae [emoji8]. Nilipata recipe toka kwa Idd Ninga.
Jinsi ya kupika mabumunda - JamiiForums
Sijapata ya loshoro Valentina hutengenezei laiyoni hii kitu?
Asante mae [emoji8]. Nilipata recipe toka kwa Idd Ninga.
Jinsi ya kupika mabumunda - JamiiForums
Sijapata ya loshoro Valentina hutengenezei laiyoni hii kitu?
Asanteni sana Hornet na Miss Natafuta.
Yanaitwa ngwara, au sio ngwara?.....
Kuna maharage fulani meusi sijui yanaitwaje kiswahili.....................................
Unapenda loshoro nikupeleke kwetu bomani kwa kokoo ukale vibuyu kumi vya loshoro?Asanteni sana Hornet na Miss Natafuta.