2019 nitakula kwa ajili ya kuishi na siyo kwa ajili ya kujiua!View attachment 996226View attachment 996227
Mie mwaka huu nakimbia sukari mwaka jana nimekula sana vitamu tamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
2019 nitakula kwa ajili ya kuishi na siyo kwa ajili ya kujiua!View attachment 996226View attachment 996227
Mkwe mkwe nipo kwenye dose ya malaria sina appitite kabisa ila ghafla baada ya kuona hizi sambusa appitite imerudi ghafla farkhina
Mkwe mkwe nipo kwenye dose ya malaria sina appitite kabisa ila ghafla baada ya kuona hizi sambusa appitite imerudi ghafla farkhina
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante mkwe,hizo mlizonibakishia bila shaka ndio tamu zaidi ntakuja kuzifata in sha allahPole sana mkwe wangu,natumia unajiskia ahueni.
Sambusa zipo tumekubakishia,au tutakupikia za kwako special.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikifungua saa hizi huu uzi njaa inaweza kuzidiBokoboko la kuku....
Bokoboko la kuku.... - JamiiForums
Cc Hornet
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikifungua saa hizi huu uzi njaa inaweza kuzidi
Jr[emoji769]
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji30][emoji30][emoji23][emoji23][emoji23]Mkwe mkwe nipo kwenye dose ya malaria sina appitite kabisa ila ghafla baada ya kuona hizi sambusa appitite imerudi ghafla farkhina
Sent using Jamii Forums mobile app
Nini tena mzee baba??[emoji15][emoji15][emoji15][emoji30][emoji30][emoji23][emoji23][emoji23]
Jr[emoji769]
Enjoy mwaya maisha yenyewe mafupi hayaAhahaaaaa
Sana tu. Ndo maisha yenyewe hayo.