Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

.
IMG_20190118_124640.jpeg

Jr[emoji769]
 
Nipe mchakato wake!
Mwaka huu nimeamua

Sent using Jamii Forums mobile app

Kitunguu maji,nyanya Na pilipili boga (hoho) kata kata.

Weka mafuta kdg kaanga izo mboga mboga.

Pembeni unavunja mayai unayakoroga.

Weka kwenye zile mboga mboga Na chumvi kiasi unakoroga.

Unasubiri iwive,tayar kwa kula.

Dakika 20 tu huu mchanganyiko kuunda hadi kuwiva.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ohhh nimeikumbuka,nimewahi pika wakati nipo nafanya cooker secondary.

Af ilikuwa ramadhan ikabidi nibebe nkalie nyumbani.

Sent using Jamii Forums mobile app

Nilivokua primary kuna bibi alikua anauza ndogo ndogo lakini tamu bei nshasahau,sambusa za nyama ilikua sh 30 mkate wa ufuta sh 150 na juice ya ukwaju chupa ndogo sh 50 kubwa 100.

Mwalimu wetu wa darasa alikua anauza vileja vitamu sh 20 huwa mie ndie muuzaji wake vikibaki tunakopeshwa [emoji23][emoji23][emoji23],unakopa vya sh 100 wakati hela yenyewe nyumbani unapewa sh 150 siku ya kulipa unajuta [emoji853] Na vileja ushakula 🤣🤣🤣🤣🤣. Alafu sh 50 ilobaki unanunua mihogo ya sh 40 na lai (ice cream ) sh 10 .

Tumetoka mbali sana [emoji1431]

Sambusa ulinunua sh.30. Kumbe Farkhina Mkubwa kiasi. Nilikuwa najua wewe kama miaka 22 ikizidi 25!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom