Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukirudi [emoji85][emoji85][emoji85]
Jr[emoji769]
Mapishi mazuri kabisa
Nimekua vampire
Nyama ya mbuzi ikichemshwa huwa inakuaje
SijuiNyama ya mbuzi ikichemshwa huwa inakuaje
a tree is known by its fruit
[emoji3] napenda kula ivi kama jana yake nilipiga vyombo
Chai iliyowekwa viungo vifuatavyo:
Mdalasini,iliki,karafuu,pilipili manga na majani ya zataar.
Mkwe nakufukuzia mdogo mdogo farkhinaView attachment 1026614
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3] napenda kula ivi kama jana yake nilipiga vyombo
TamuuuSmoothie ya mtindi na tui la nazi na vannila kwa mbali
[emoji120]Mapishi mazuri kabisa
a tree is known by its fruit
[emoji3] mi kwenye dagaa hapo nikiwa nimepiga vyombo hapana ile smell ya dagaa inaweza nifanya nikarudisha chenchi na pia wali siwezagi kabisa[emoji3] [emoji1]Kama mimi ila napendaga wali maharage au ugali maharage na vidagaa na mboga ya majani
Sent using Jamii Forums mobile app