MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Ahsante mkuu, cha muhimu uhai tu....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante mkuu, cha muhimu uhai tu....
Taratibu basi! Hapo umeona tu kumjua, vipi kumtafuta, kumuandaa na kumpelekea Mama Mkwe? Wewe chuchunge unamjua
Basi we hodari mkwe wa mtuTaratibu basi! Hapo umeona tu kumjua, vipi kumtafuta, kumuandaa na kumpelekea Mama Mkwe? Wewe chuchunge unamjua
Sent using Jamii Forums mobile app
MAMA weeee, MAMA weeee, MAMA weeee.Good morning brother's and sisters
#Mweziwamapendo View attachment 1025335
Sent using Jamii Forums mobile app
SEMBE na SAMAKI wa kulumagia, na MBOGA MBOGA kwa pembeni.
UKWAJU uliupata wenyewe mbichi au ule ulioshaandaliwa tayari (wa unga).
UKWAJU uliupata wenyewe mbichi au ule ulioshaandaliwa tayari (wa unga).
Wa unga huwa wanachanganya na Viungo vyao, kwa kweli ladha halisi ya UKWAJU inapotea
Ohoo shukraniTENDE.
Asubuhi upate na MAZIWA ya MOTO kisha TENDE ziloekwe kwenye MAZIWA ya MOTO, ni hatari.
Ukizoea, huwezi kuipenda CHAI hata siku moja.
Ni kifungulia kinywa kizuri sana Asubuhi.
Khantwe mzima?
Habari za Siku chache?
Umetuzuga mbona nyama Hii!