Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3]diet gan ndzi zimeungwa hizo
kiwanda kipo wapi tz au kipo Nje ila kinamilikiwa na mtanzania!?Nimefurahi kuona Ice cream ya Tanzania kwenye supermarket za mabepari.View attachment 1037063
Sijui kiwanda kipo wapi,nachojuwa Waitrose ni Supermarket kubwa.kiwanda kipo wapi tz au kipo Nje ila kinamilikiwa na mtanzania!?
basi ni vyema mkuu wasalimie mabwanyenye usisite kutupa mbinu wanazotumia kuzifanya brand zao ziwike in globalSijui kiwanda kipo wapi,nachojuwa Waitrose ni Supermarket kubwa.
Hbd ya nyau Nini mbona katengewa?
Yanavutia sana
SafiJana hiyo ndani ya Morogoro[emoji39][emoji39][emoji39]View attachment 1035509
ᵂᵒʳʳʸ ⁱˢ ᵃ ʷᵒʳᵈ ᵗʰᵃᵗ ᴵ ᵈᵒⁿᵗ ᵃˡˡᵒʷ ᵐʸˢᵉˡᶠ ᵗᵒ ᵘˢᵉ✓
Nimekubali
Uwanja huu ni wa kila mtu.wakuu zakudownload zinaruhusiwa maana natamani niwaunge mkono lakini sina chakupost mongozo tafadhari #via uaminifu
Hii kitu upate mchomaji mzuri tu.....