Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

my dariiiii a nid your lavoooo..jifanye kama huwaoni
IMG_20190412_184231.jpg
 
Jamani ebu kwa majina mengine hyo habatus ndo nn
Habat sa'uda(habati soda) kwa kimombo waita black seed hii ni dawa ya maradhi mengiiiiii inayotokana na mbegu nyeusi za mti wa sa'uda una patikana na kumea sana mashariki ya kati.

Inapatikana ikiwa ni mafuta au mbegu zake ni nzuri sana kwa maradhi mengi.

Inapatikana zaidi maduka ya dawa za kisuna(maduka ya dawa za kiarabu)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inatengenezwa na maziwa fresh.

Shukrani kwa maelezo mazuri[emoji120]
 
Back
Top Bottom