Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyama gani hii mrembo??
Nyama gani hii mrembo??
Okayng'ombe hiyo
Huo ugali ukikuta umemixiwa vizuri na huyo kuku pembeni unashuka balaaNaomba kuwasilisha...[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1129057
Hii combination noma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekusoma sana hapa[emoji23][emoji23][emoji23]Jamani japo mashavu tu tuone
Hii milking'amua kitambo sanaAngalia dp yangu
Sijui mimi ndio nimefikiria hivyo am ulimaanisha kuweka hilo andazi lenye tundu[emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui mimi ndio nimefikiria hivyo am ulimaanisha kuweka hilo andazi lenye tundu[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani wewe ungekuwa ndugu yangu ningekutoa zawadiHapana
Nimekujiibu. Fundi mitambo mwenywe.