dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
Hili ni tatizo maana hata notification sipati mpaka nirudi kwenye uzi nione
Naona umeichunia pm yangu jirani....
Haya niko mjini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona umeichunia pm yangu jirani....
Haya niko mjini
😂😂😂pole mkuuHapana nilikua na njaa sasa ikazidi maradufu
[emoji6][emoji23][emoji23][emoji23]pole mkuu
Inategemea sasa na tumbo lako.Juice inavutia sana machoni,vipi ukiitumia haileti mkorogano tumboni...?
Kunenepa hakuepukiki utamu utamu
Inapendeza na kuhamasisha kulaBreaking the fast in reddish vs pinkish wayView attachment 1150958
Nilikupm jpili jiraniJamani! Lini umeni text meseji yako sijaiona mwaya kweli kabisa sijaipata
Hapana, mazoezi kwa wingi nafanya so I can eat what I want😂😂😂Kunenepa hakuepukiki utamu utamu
Hivi hizi ni chapati za kusukuma? Naona kama za maji Mara za kusukuma hata sielewi.Good morning!
#KyainakyapatiView attachment 1151053
Zikiwa za moto moto chapati za maji ndiyo nazipendaGood morning!
#KyainakyapatiView attachment 1151053
Hakuna mtu wa mazoezi hapa ..we kula tu uwe na kitambi tumbo lilingane na baba naniliiHapana, mazoezi kwa wingi nafanya so I can eat what I want[emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂kama la lemutuzHakuna mtu wa mazoezi hapa ..we kula tu uwe na kitambi tumbo lilingane na baba nanilii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Haswaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama la lemutuz
wapi hii kituu... Nisaidiee la sivyo utaumwa na tumbooo...
Hahahha I mean packet mojaMoja tuu? Umesahau nakula kama mchwa?
Hahahahha tutazima camera basi[emoji23][emoji23][emoji23]maana hata mambo ya uma sijui visu sijui vijiko siwezagi kabisa.
Ukinitoa out for dinner or lunch I will embarrass you...
Sure tasty....Inapendeza na kuhamasisha kula
Ukimaanisha[emoji23][emoji23][emoji23]Hivi hizi ni chapati za kusukuma? Naona kama za maji Mara za kusukuma hata sielewi.
Raha ya chai na chapati ni unashinda siku nzima umelegea.[emoji23][emoji23]