Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Na juice ya tufaa
Makaroni.jpeg
 
Hili rojo umeeka nini na nn
Palm oil,viazi,(vitunguu,hoho,karoti,ginger &garlic) vilisagwa pamoja na chopped giligiliani +ivyo kwenye mabano na viungo kama bay leaves,paprika,curry n.k hopefully umeelewa nimeshindwa kuandika kwa kirefu zaidi
 
Back
Top Bottom