Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

IMG_1168.JPG



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
dah nimetumbu macho humu mpaka basi kila sehemu ni mate tu kwa kwenda mbele

jamani kula kuzuri and i have to admit i love eating na naamini binadamu wengi kula ndo raha kubwa zaidi duniani mengine nyongeza tu na mbwembwe za hapa na pale(ashukuriwe muumba wa vitu vyote hivi vyenye ladha tofauti tofauti)

Mkuu Mshana Jr wakati unaufungua huu uzi hata sijui uliwaza nini,ila nadikiriki kusema ulifikiria mbali sana coz mpaka sasa nauhesbau kama moja ya uzii wa pekee kabisa na wenye kuburudisha macho na nafsi kwa namna ya kipekee,shukrani sana kiongozi

Katika uzii wetu huu pendwa nimegundua watu wawili wa hatari sana kwa mapishi,(ndo kwanza niko page ya 34,nikigundua kitu kingine nitakiupdate)

kuna watu wawili humu nawapa shkamoo zangu za dhati

missyrose mamie we ni mpishi mzuri kwa post zako zote ulizotupia humu unless uwe unapikiwa afu we unapiga tu picha na kutupia,niruhusu nikutembelee siku moja bhagosha,(hivi umeolewa mamie?,kama ushaolewa hongera sana hubby wako anaenjoy maana they say a way to a mans heart is through his stomach,sijui ni kweli? ila kama hujaolewa nahisi mume wako angekuwa huyu nayemtaja hapa chini mngefaana sana maana naona mnaendana katika swala zima la chakula kizuri)

Careem you rock dude unaipenda afya yako lakini pia unajua kupika kila chakula ulichokuwa unatupia humu mimi mate hayoooo(kama umeoa mkeo ana kibarua cha kuhakikisha anakupikia sotojo la maana,ila kama hujaoa afu ungepata nafasi ya kuonana na huyo mdada tajwa hapo juu nadhani mgefaana sana maana naona wote mko vizuri kwa mapishi moto moto)
 
Back
Top Bottom