The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,989
- 45,411
Simple and healthy😋Nimempikia mwanangu Isabella, Mama yake ameenda Kimasichana kwa bibi[emoji847][emoji847][emoji847] View attachment 1411409
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simple and healthy😋Nimempikia mwanangu Isabella, Mama yake ameenda Kimasichana kwa bibi[emoji847][emoji847][emoji847] View attachment 1411409
Njoo na bia tumle![emoji847][emoji847][emoji847]
Nimejiuzulu kuwa Vegetarian![emoji4][emoji4][emoji4]Nipate Kitambi.
Hivi wewe si ulikua vegetarian?
Bloo,utam unaoupata hapa ni zaid ya utam ule ukiwa na papuch.
Wandugu hiyo rangi ya wali ni rangi ya wali wa Dar?Mchana mwemaa wandugu..!View attachment 1412541
Bloo,utam unaoupata hapa ni zaid ya utam ule ukiwa na papuch.
Nmekosa cha kufananisha.nisamehe mim
Ila mim nikionaga hzo mboga na ugal huwa navua nguo nabak na boksa ndo naanza kula
Mchana mwemaa wandugu..!View attachment 1412541
Hahahaha! [emoji23][emoji23]Loh kama cha nyumba ndogo
Jr[emoji769]
Mimi nitakufundisha ili zitoke hivi![emoji12][emoji12][emoji12]
[emoji23][emoji23] hizi si kaukauMimi nitakufundisha ili zitoke hivi![emoji12][emoji12][emoji12] View attachment 1412787
Ntashukuru dia...ukiniwekea na ya maandazi [emoji7][emoji7]nikitulia nitakuandikia [emoji4][emoji4]
My dear nimepika kachori mara mbili lkn zinafunguka viazi vinatoka sasa sijajua ninakosea wapi!?[emoji23][emoji23][emoji23] chemsha viazi ponda vikiwa vyamoto weka chumvi ndimu ya kutosha pilpili , manjano kama unayo zungusha viduara ..
Chukua ngano unga weka maji uwe mzito size ya uji bandika mafuta ..
Tia vidonge vyako kwenye unga dumbukiza kwenye mafuta makali kama dk 5 tayari
Sent from my iPhone using JamiiForums