Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Warning[emoji615]
Sali! kabla ujala
images-07042020.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bloo,utam unaoupata hapa ni zaid ya utam ule ukiwa na papuch.

Nmekosa cha kufananisha.nisamehe mim

Ila mim nikionaga hzo mboga na ugal huwa navua nguo nabak na boksa ndo naanza kula

Jr[emoji769]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] chemsha viazi ponda vikiwa vyamoto weka chumvi ndimu ya kutosha pilpili , manjano kama unayo zungusha viduara ..
Chukua ngano unga weka maji uwe mzito size ya uji bandika mafuta ..
Tia vidonge vyako kwenye unga dumbukiza kwenye mafuta makali kama dk 5 tayari


Sent from my iPhone using JamiiForums
My dear nimepika kachori mara mbili lkn zinafunguka viazi vinatoka sasa sijajua ninakosea wapi!?
 
Back
Top Bottom