Labda ninakosea kwenye kuvichemsha!maana mi navichemsha mpaka vinaiva kabisaJe kavichemsha viazi na maganda au kavimenya je vimeiva sana au maana yake havitakiwi viive
Sent from Tapatalk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda ninakosea kwenye kuvichemsha!maana mi navichemsha mpaka vinaiva kabisaJe kavichemsha viazi na maganda au kavimenya je vimeiva sana au maana yake havitakiwi viive
Sent from Tapatalk
Nitabadirisha kwenye uzito wa uji my be yaweza pia kuwa sababuNahisi tatizo lako lipo kwenye, baada ya kuchemsha viazi aidha uliviacha na maji au ngano uliyovirigia ili kukaanga uliifanya nyepesi
ᴹᵒᵏⁱˡⁱ ᵒʸᵒ ᵉᵗᵒⁿᵈᵃ ᵐᵃᵏᵃᵐᵇᵒ ᵉᵇᵉˡᵉ [emoji2986]
Ndio ulipokoseaLabda ninakosea kwenye kuvichemsha!maana mi navichemsha mpaka vinaiva kabisa
Weekend ni kitimoto kwa bia moja!#Weekenda View attachment 1416203
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huu uzi ukiufungua ukiwa na njaa hakuna rangi utaacha kuona[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu uzi ukiufungua ukiwa na njaa hakuna rangi utaacha kuona[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile ngano ya juu koroga nzito kidogo..alafu leta mrejeshoThanx a lot mkuu!!but nimetumia hivyo hivyo lkn sijapata matokeo chanya au hazitakiwi kugusana zikiwa kwenye mafuta!?
Hapo umeweka viungo gani Inna
Thoum/tangawiz, garam masala,paprika,pilipl manga,curry powder,tomato za kawaida na tomato paste kidogoHapo umeweka viungo gani Inna
Ooh ahsanteThoum/tangawiz, garam masala,paprika,pilipl manga,curry powder,tomato za kawaida na tomato paste kidogo
[emoji2817][emoji2817][emoji860][emoji860]Unaniaibisha ! [emoji85][emoji85][emoji87][emoji87]Ooh ahsante
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji2817][emoji2817][emoji860][emoji860]Unaniaibisha ! [emoji85][emoji85][emoji87][emoji87]
e͕̓́s̤̓͝t̫͒̀-̭̅͝c͇ͬ̀e͎͂͞ ̡̘̔q̨̜̾u͙͂͢ẽ̷̯ ̣͆͜ṭ̡̈́u̶̖̾ ̯̈́͞m̡͕̄'̖̄̕a͉͆͘i̧͕͆m̛͎ͫĕ̸͍sͮ͟ͅ?