The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,989
- 45,411
Mbona umejipunja nyama.?😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona umejipunja nyama.?😁
Chai hii ilikutambua vizuri😂..Nimetamanii tayari
Asante mkuu....Maji+unga=ugali
Washa jiko weka sufuria yenye maji kiasi. Koroga unga kadiria uji usiwe mwepesi wala mzito sana. Koroga mpaka ukianza kuchemka uache uchemke kwa dakika 5. Baada ya hapo ongeza unga kidogo kidogo huku ukisonga. Songa mpaka usikie ugali unanukia na mwiko haunati. Baada ya hapo ipua na ugali wako utakua tayari kuliwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Rafiki acha kula sembe, Corona inaweza kukunyanyasa hivihivi!
Mfungo umeisha??
Mfungo umeisha??
Nice food though
Nile wa muhogo au mtama?Rafiki acha kula sembe, Corona inaweza kukunyanyasa hivihivi!
Itakuwa poa sana mrembo japo tukila kwa macho pilau lako la Eidndio tumefungua leo kesho ndio nitakula pilau
Nitarusha ule kwa macho tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chai hii ilikutambua vizuri[emoji23]..Nimetamanii tayari
Nikilala vipande vingi meno yanauma[emoji23][emoji23][emoji23]Mbona umejipunja nyama.?[emoji16]
Kabisa rafiki![emoji122][emoji122][emoji122]Nile wa muhogo au mtama?
Nasikia huwa mnafungua kwa mgegedo pia![emoji125][emoji125][emoji125]ndio tumefungua leo kesho ndio nitakula pilau
Nitarusha ule kwa macho tu
Weeeh, usinambie, basi naomba niwe nakula na wewe 😀😀Nikilala vipande vingi meno yanauma[emoji23][emoji23][emoji23]
Mambo TH,u're missed
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaWeeeh, usinambie, basi naomba niwe nakula na wewe 😀😀
Mambo vululu vululu tuu, miss you too.....Umeona mwonekano mpya wa Jf[emoji847]
#Njoobrowser