Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

IMG_2245.JPG



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maji+unga=ugali
Washa jiko weka sufuria yenye maji kiasi. Koroga unga kadiria uji usiwe mwepesi wala mzito sana. Koroga mpaka ukianza kuchemka uache uchemke kwa dakika 5. Baada ya hapo ongeza unga kidogo kidogo huku ukisonga. Songa mpaka usikie ugali unanukia na mwiko haunati. Baada ya hapo ipua na ugali wako utakua tayari kuliwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asante mkuu....

Nimesahau picha tu ila nimeupika ugali japo hukunipa mboga ya kuulia.
 
Back
Top Bottom