Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

IMG_2887.JPG
 
Ipo japo kidogo[emoji1787][emoji23],yes I'm vegetarian napambana ni mantain Hb yangu
Hb unamaanisha nini? Between chakula chako wamepunja nyama mchuzi maharage.
Halafu leo hadi mda huu sijui nitakula nini.
Nipo tu kitandani ninachat.
Hata sijaweka mazingira ya kupika
 
Hb unamaanisha nini? Between chakula chako wamepunja nyama mchuzi maharage.
Halafu leo hadi mda huu sijui nitakula nini.
Nipo tu kitandani ninachat.
Hata sijaweka mazingira ya kupika
Haemoglobin level(wingi wa damu),,usijari my ntakutumia lunch,[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom