Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Virse versa,kula chakula then malizia matunda ndo utaratibu otherwise ni ulafi tu.kula chakula na sallad ni sawa.matunda na chakula big no labda buffé ya harusini maana yatakwisha.
Ooh basi huenda sikumbuki vyema mkuu! Anyway ni sawa mkuu..
By the way unaweza kunitofautishia kazi inayofanywa na Salad na ya matunda mwilini?
 
Ardhi ya ugenini
IMG_20200611_183248_5.jpg
 
Back
Top Bottom