Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Ukimaliza kula ugali unakunywa na supu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
IMG_20200618_135224.jpg
 
Hiko ninakula full suit.
Mchana na usiku.
Nipo peke yangu kwenye nyumba kupika uvivu.. Basi naishia kula kwenye vibanda vya chips.

Leo ndo nimetamani mchicha nimepika kivivuuuuuuu.
[emoji24][emoji24] Yan ndo nmekosa mwaliko kiivyo dah! Ila sio mbaya ngoja niwasubr mashangaz love wenye upendo labda watanialika
 
Back
Top Bottom