The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,989
- 45,411
Nimejikuta naitengeneza picha ya Ugali na mlenda ghafla😋....Wikiend nitajipikia!
Nimemis Sana mlenda
Nimemis Sana mlenda
Ugali mlenda, mtindi na kanyama kakuchoma...ugali wa kwenye chungu lakini wamotoo!!!