Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yummy yummy
[emoji39][emoji39][emoji39]Yam yam
Manyau nyau unapenda nyama rosti, we nyama zako si za watuDah....[emoji39][emoji39][emoji39]
Hii mboga gani kuku mnafu
Mkuu shimboni shafoView attachment 1541497
Mshale umenoga, simple dinna
Mkuu shimboni shafo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Acha kujidanganya mdogo wangu kwan hapo cha kumfanya dem aadisie nn!? Hzo chapat, nyama au hyo nyagi?. Hebu jishkirie kdg babu!!!
Hapana chainiz na cauliflower mixed na kukuHii mboga gani kuku mnafu
Hadi nimemeza mate.
Haaahh mkuu yan hapo ndo asbh imepita au!?
Ndio mkuu,imeisha hiyoooHaaahh mkuu yan hapo ndo asbh imepita au!?
Chai ya kichoyo hii acha tu
Duh aisee! Haya mkuu kila la heri me sitii neno hapo!Ndio mkuu,imeisha hiyooo
California love