Bwana Fulani
JF-Expert Member
- Mar 25, 2019
- 653
- 3,404
Supper hiyo mkuuNdo cha mchana hiki mkuu au?
We go to Abu Dhabi for hobby, your body my new bugatti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Supper hiyo mkuuNdo cha mchana hiki mkuu au?
We go to Abu Dhabi for hobby, your body my new bugatti
Napenda dona balaaWapenda dona wenzangu kumbe mpo safi sana.
inauzwa bei gani hii!?
10k kwa 15k mkuuinauzwa bei gani hii!?
Unashiba kweli hapo
Tumbo langu Mimi[emoji39][emoji39]
bamia umechanganya na nini?Kabla ya kuweka lagerView attachment 1517423
cabbage na nini?
Mie hapo ninge order sambusa nyingine hata na sausage hiviNdio mrembo
California love
Kwangu mim zinatosha,majukum mengi Hadi nakosa hamu ya kulaMie hapo ninge order sambusa nyingine hata na sausage hivi
Fungua pm mpendwaMie hapo ninge order sambusa nyingine hata na sausage hivi
Itabidi unifundishe kuridhika hivyo maana chakula kitamu siwezi kula kidogo .Kwangu mim zinatosha,majukum mengi Hadi nakosa hamu ya kula
California love
Fungua pm mpendwa
California love
Ngoja nikupe lecture mrembo,mwili unahitaji kiasi kidogo sana Cha chakula,chakula kingi hutuzwa mwilini kama mafuta,njaa inamaanisha tumbo lipo empty tu,kwahiyo nakushauri kula essential food kidogo(carbohydrates, protein na lipid) usile kujaza tumbo,then kunywa maji au matunda ili ujaze tumbo, inshort ni kwamba usijaze tumbo kwa chakula tu,Itabidi unifundishe kuridhika hivyo maana chakula kitamu siwezi kula kidogo .