Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ugali wa wapiWanaume wa Dar wataniuliza maswali kuhusu huu ugali!View attachment 1589369
Daah mzee wangu umenikumbusha kwa bibi Matai Sumbawanga. Kitu chukuchuku tena hapo baada ya kutoka shamba na mzee.Wanaume wa Dar wataniuliza maswali kuhusu huu ugali!View attachment 1589369
Ndio chakula gani hiki
Yumy yumy
Yaani badala ya kumshauri ale dona unamdanganya ainjoy chips?!Waooh enjoy [emoji6]
Breakfast... hakuna chips hapo.Yaani badala ya kumshauri ale dona unamdanganya ainjoy chips?!
Yaani badala ya kumshauri ale dona unamdanganya ainjoy chips?!