Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtaalam wa hizi kazi!Mdudu na mchichaaView attachment 1630679
Hapo nasubiri afike tusonge ugalii laini na wine halafu nimlee[emoji1787][emoji1787]Mtaalam wa hizi kazi!
Siku hizi si umeshastaafu mkuu?Hapo nasubiri afike tusonge ugalii laini na wine halafu nimlee[emoji1787][emoji1787]
Nitakuja kukusaidia.Uje unisaidie mwenzio, usinicheke
Leo mbona umenitamanisha hivyo
Umenifanya nikumbuke kitimoto cha moshi x masss hiyooooooo, nawahi mapema kabisa nikachukue nambaMdudu na mchichaaView attachment 1630679
Hii kitu yenyewe kabisa,kuna mtu niko naye hapa kwenye bus siti ya karibu hatujaongea tangia safari imeanza ubungo,lakini baada ya kufungua hii picha tumeanza kuongea.Mdudu na mchichaaView attachment 1630679
Lizzy mautam 😋😋😋Leo maandazi Iceberg9 ...karibu 🙂🙂View attachment 1629994View attachment 1629995View attachment 1629996
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Lizzy mautam [emoji39][emoji39][emoji39]
Wewe jamaa ukipost tu najua ni mapaja na vipapatio vya kuku unaniua aisee kuku wa kienyeji ni habar nyengine![emoji39][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe upo vizuriiii ohhhh such a nice girl [emoji1464], ngoja tupange ratiba basi ole wako uunguze maandazi[emoji2296] sitakupa zawadi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sukari, mafuta na baking powder nikupikie kitu laiiini.
Leo mbona umenitamanisha hivyo
Hiyo chapati ni kiboko kabisa[emoji39][emoji39][emoji39]