Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1752][emoji1752][emoji1752][emoji1534]Nimeona watu wanakula sana sembe hapa.Jifunzeni kula dona.Mkija kupata ugonjwa wa bawasiri msije mkasema kuwa hamkuambiwa!Sembe ni janga la Taifa.
Salad for days msosi wao uko poa? Maana picha zinavutia ila sijawajaribuView attachment 1701307
nastua kwanza na maji ya moto, huku nawaza mchana nikajisosomole wapi kati ya Salad for days au kisinia pale palm village
Nikiwa mkubwa nataka niwe na maisha kama ya Simara 🙂🙂🙂View attachment 1701307
nastua kwanza na maji ya moto, huku nawaza mchana nikajisosomole wapi kati ya Salad for days au kisinia pale palm village
Hongeraa!Mwanaume wa dArView attachment 1699477
[emoji39][emoji4]View attachment 1701414
mambo ya lamian mzee mshana hahahahahaa hapo naka niuro maisha haaaaView attachment 1701416
Kuna chakula kinaongeza njaa hata baada ya kukilaView attachment 1701517
Kuna rafiki yangu hapa najua atatoa povuView attachment 1701731
Ahaha kwio hiyoMzee wa kwio?[emoji16][emoji16][emoji16]